Wakaazi wa Kwale washauriwa kutoa maoni yao kuhusu bajeti ya kaunti
Wakazi wa kaunti ya Kwale wametakiwa kuangalia na kuwasilisha miradi ya zamani na ambayo inahitaji kurekebishwa kwenye vikao vya kushirikisha umma katika ukadiriaji wa bajeti za kila mwaka.