Wakazi wa Buruburu phase 5 walalamikia ujenzi wa nyumba
Wakazi wa mtaa wa Buruburu phase 5 wanalililia serikali ya kaunti ya nairobi kusitisha ujenzi wa jengo ambalo wanasema limeziba mfumo wa majitaka. kulingana nao, ujenzi huo unahatarisha maisha ya wakazi hao. Licha ya kuorodheshwa kubomolewa na Serikali ya Kaunti, jengo hilo bado limesimama tisti. Ode Francis na taarifa kamili.