Wakazi wa Shinyalu wamlaumu rais Ruto kwa kutotimiza ahadi yake huku wakilalamikia barabar mbovu
Wakazi wanaoishi kando kando mwa uwanja wa ndege wa Kakamega eneo bunge la Shinyalu, kaunti ya Kakamega wameandamana na kufunga barabara kuu ya kutoka mjini Kakamega kuelekea soko la Shinyalu hadi Chepsonoi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya