Wakfu wa M-Pesa wawekeza shilingi milioni 130 kuboresha shule katika kaunti za Baringo na Bomet
Wakfu wa M-Pesa umewekeza jumla ya shilingi milioni 130 katika kuboresha miundombinu ya shule katika kaunti za Baringo na Bomet, chini ya mpango wa Citizens of the Future unaolenga kuimarisha upatikanaji wa elimu bora kwa Wanafunzi wote.