Wakulima 2500 wa kahawa kutoka kaunti ya Embu wamepata mafunzo ya mbinu za kilimo hai
Wakulima 2500 wa kahawa kutoka kaunti ya Embu wamenufaika pakubwa na mafunzo ya mbinu za kilimo hai yaliyotolewa na serikali ya kaunti ya Embu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya