Wakulima Garissa wataka KenGen kuwalipa fidia kutokana na hasara iliyosababishwa na maji
Wakulima wa kaunti ya Garissa walioathirika na mafuriko sasa wanataka kampuni ya kuzalisha umeme KenGen kuwalipa fidia kutokana na hasara iliyosababishwa na maji ya kutoka mabwawa ya kampuni hiyo kwenye mto tana.