Wakulima wahimizwa kupanda pamba aina ya BT Busia
Miaka Sita Baada Ya Nchi Ya Kenya Kuidhinisha Ukuzaji Wa Pamba Iliyoboreshwa Aina Ya Bt, Wakulima Wengi Katika Kaunti Ya Busia Wangali Wanategemea Msimu Wa Mvua Ili Kupanda Na Kuzalisha Mmea Huo Muhimu..Wakulima Wengi Wa Pamba Katika Kaunti Ya Busia Walikuwa Wameacha Kilimo Cha Mmea Huo Uliokuzwa Kwa Wingi Miaka Ya Tisini. Wanasema Pamba Sasa Haina Mavuno Ya Kuridhisha Bali Na Uhaba Wa Mbegu Na Soko