Walemavu wapewa viti vya magurudumu na fimbo za matembezi Nakuru
Watu zaidi ya mia tano kutoka kaunti ya Nakuru wenye mahitaji maalum, hii Leo wanapokea vifaa vya msaada vikiwemo viti vya magurudumu, na fimbo za matembezi miongoni mwa vifaa vingine. hafla hiyo inafanyika katika kanisa la ACK Nakuru mashariki, Evans Asiba Yuko nao na Sasa tunaungana naye moja Kwa moja kwa taarifa zaidi.