Wanafunzi 12,479 wanaotoka jamii maskini eneo la Mbooni wapewa basari
Wanafunzi elfu 12,479 wanaotoka jamii maskini katika eneo bunge la Mbooni kaunti ya Makueni wamepata ufadhili wa basari ya shilingi milioni 64 kutoka kwa hazina ya ustwai wa maendeleo ya eneo bunge NGCDF. wazazi wa wanafunzi walionufaika wanasisitiza kuwa hazina hiyo ni muhimu na haifai kuondolowa.