Wanaharakati wazuiliwa Tanzania
Aliyekuwa Jaji Mkuu Wlly Mutunga, afisa mkuu wa shirika la vocal africa Khalid Hussein na Mwanaharakati Hanifa Asan wako njiani kurejea humu nchini baada ya kuzuiliwa katika uwanja wa ndege wa julius nyerere mjini dar es salam, tanzania.