Wanamgambo wa Al Shabaab wawaua watu watano katika eneo la Burabor, Mandera
Watu watano wameuawa kufuatia shambulizi la wanamgambo wa Al Shabaab katika eneo la Burabor eneo la Mandera Mashariki. Watu wengine wawili walijeruhiwa kufuatia shambulizi hili la mapema leo huku maafisa wa usalama wakisema wameimarisha usalama eneo hilo. Feisal Abdirahman anaarifu zaidi