Washirikisha wa chama cha UDA wajitenga na chama hicho Embu
Ni pigo kwa chama tawala cha United Democratic Alliance- UDA eneo la Embu baada ya washirikishi kukurupuka mkutanoni wakilalamikia kusalitiwa, kutelekezwa na msururu wa ahadi ambazo hazitekelezwi.