Watangazaji wa kituo cha redio ya Mulembe FM wafika Busia
Watangazaji wa kituo cha Redio ya Mulembe FM, mojawapo ya stesheni za redio zinazomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services, waliungana na mashabiki na wakazi wa eneo la Port Victoria kaunti ya Busia kwa hafla ya kutoa shukrani katika kanisa la free Pentecostal fellowship.