Watumishi wa umma katika Kaunti ya Baringo watishia kugoma
Watumishi wa umma katika Kaunti ya Baringo wametishia kugoma baada ya serikali kutangaza kuondoa marupurupu ya mazingira magumu katika maeneo mawili ya kaunti hiyo – Baringo Central na Mogotio.