Waumini wa kikatoliki waendelea kumuomboleza Papa Francis
Waumini wa kikatoliki leo wameingia siku ya pili ya maombolezi ya Papa francis baada ya kuzikwa hapo jana. Papa Francis ataombolezwa kwa siku tisa kabla ya shughuli ya kumchagua papa mwingine kufanyika. Wakati huo huo, eneo alikozikwa papa francis limeonyeshwa kwa waumini huku mahujaji wakiendelea kuomba na kumuomboleza Papa Francis