Zaidi ya hospitali 8 zavamiwa na misaada kuporwa Sudan Kusini
Shirika la madaktari wasio na mipaka (MSF) limeitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati mzozo unaoendelea nchini Sudan Kusini, baada ya watu 7 kuuawa na 20 kujeruhiwa kwenye shambulio la bomu katika hospitali ya shirika hilo huko Fangak Kaskazini.