Zaidi ya wasichana 300 wa Mathare wapata afueni baada ya mimba za mapema
Zaidi ya wasichana mia tatu waliopata mimba za mapema katika mtaa wa mabanda wa Mathare hapa Nairobi wamepata afueni baada ya washikadau kutoka sekta ya afya kufika eneo hilo kutoa ushauri nasaha kuhusu namna ya kujilinda dhidi ya dhulma.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya