Site icon Current News

Wakati Polisi Wakikataza Watu Kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Marekani Yatoa Onyo Kali Kwa Tanzania



#TunduLissu #Chadema #Tanzania

Kunradhi: Kesi ya Mheshimiwa Lissu itatajwa tena April 24 mwaka huu, sio April 27 kama ilivyoandikwa kwenye clip. Samahani sana kwa kasoro hiyo.

Marekani imetoa onyo kali kufuatia kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Tundu Lissu, na hatimaye kufunguliwa kesi nzito ya uhaini. Wakati hilo likijiri, jeshi la polisi nalo limepiga marufuku mikusanyiko katika mahakama ya Kisutu hapo April 24 mwaka huu ambapo kesi ya Mheshimiwa Lissu itatajwa

Exit mobile version